Maono ya Huduma

Huduma ya Wanafunzi wa Yesu ina maono ya kuwafanya watu wote ulimwenguni (wanaomwamini na watakaomwamini Bwana Yesu), kupitia mafundisho ya Neno la Mungu na uongozi wa Roho Mtakatifu, waweze kujifunza kupitia maisha ya Yesu (kama kielelezo) kuishi kama vile Mungu atakavyo waishi.

Huduma hii ina maono ya kuwaona watu wakikua kiimani, wakijifunza namna ya kumshuhudia Yesu katika ulimwengu wote katika njia zote walizonazo pasipo kuogopa kitu chochote.

SIRI YA UTAUWA NA UTAKATIFU (Sehemu ya II - Summary)

  SIRI YA UTAUWA NA UTAKATIFU (Sehemu ya II - Summary) Mwl. Walter Mrisha   SWALI LA MSINGI Kwanini, wakati mwingine unapokuta mak...