Kuhusu Huduma

 Huduma ya Wanafunzi wa Yesu ni huduma yenye lengo la kuwafundisha watu wote ulimwenguni namna ya kutembea na Mungu hapa duniani kwa njia ya mfano wa Yesu Kristo na muongozo wa Roho Mtakatifu kupitia Neno la Mungu.

Huduma hii ipo chini ya Kanisa Takatifu la Mungu Tegeta linaloongozwa na Mch. Obed Katunzi.

Pia utapata kuunganishwa na huduma ya maombi na maombezi katika maeneo mbalimbali ya maisha yako kama vile 

Maombi ya uponyaji wa magonjwa mbalimbali.
Maombezi ya kufunguliwa vifungo mbalimbali vya shetani.

Mathalani utapata huduma ya ushauri wa kiroho juu ya namna ya kukua katika imani.
Kuunganisha na kufundisha Wakristo katika huduma ya Uinjilisti (nyumba kwa nyumba, mtaani na mikutano ya Injili)

Ubatizo Sahihi ni Huu

Ubatizo Kibiblia Utangulizi Moja ya somo Muhimu sana kwa mkristo anayetarajia...